Kuunda Metro iliyo salama |
Mpango wa mageuzi wa King County Metro katika Safety, Security, and Fare Enforcement (SaFE, Usalama, Ulinzi, na Utekelezaji wa Malipo ya Nauli) unalenga kushirikiana na jamii (hii inamaanisha wewe!) kutengeneza tafsiri na taswira ya nini ina maanisha kuwa salama kwenye na katika Metro. Majibu yako kwa maswali haya yatatusaidia kuboresha tafsiri hiyo na taswira ya ni nini inamaanisha kwa kujihisi na kuwa salama.
Itakuchukua takriban dakika 10-20 kukamilisha utafiti huu.